Mambo siku zote huwa mepesi kwa wenye ufahamu, lakini upumbavu wa mpumbavu ni zaidi ya udanganyifu . yaani namaanisha kuwa rafiki wa mpumbavu / mjinga daima am tegemea maumivu . Bado naamini kuwa sio wote wenye mbio washindao vitani,wala sio wore walio hodari washindao vitani, wala sio wote wenye elimu wapatao Mali , wala sio wote wenye uwezo watapewa upendeleo ila naamini katika mambo matatu katika hii dunia kwanza bahati pili mida na mwisho uwezo / ustadi vitu hivyo usivitegemee sana katika maisha yako amino uwezo unao na pia wapo wengi wenye uwezo kama wako amino unaweza wa kutengeneza mambo ndani ya kichwa chako na yakakusaidia kuwa katika nafasi Fulani , lazima ujue kuwa dunia haina mida wa kutosha hivyo tumia muda sawasawa kila upatapo nafasi usiseme muda hupo ukiamini muda hupo hautafanikisha mambo mengi. Na pia kuna uwezo usifikirie kuwa hauna uwezo,uwezo unao ila haujautumia na kuendeleza ujuzi wako. Lazima ujenge maisha yako kichwani ndipo uyaweke katika maisha ya k...