Wazo imara ni mtaji tosha

Wengi wamekuwa na nia ya kufanya biashara lakini wanashindwa waanzie wapi ila fuatana na Mimi naamini kesho utafanya biashara. Kabla ya yote katika biashara in lazima uwe na lengo la biashara yako au ni lazima uwe na wazo la biashara yako
                                                           
                 WAZO
   
Biashara yoyote unayoiona watu wakifanya kwa mafanikio lazima walikuwa na wazo la iyo biashara katika wazo namaanisha ujue ni biashara gani unaenda kuifanya lakini tatizo linakuja ni kwamba utapataje hilo wazo si kazi kupata wazo Bali ni uwezo wako wa kuiangalia jamii na kujua jamii inahitaji nini lazima na ni lazima ujue jamii inahitaji nini mfano mzuri ni mtu aliyeko kijijini anatakiwa ajue mjini au apo apo kijijini panahitaji nini ukishajua utakuwa umeshapiga hatua kubwa katika biashara mfano mijini kunahitaji vyakula sababu ya population kubwa mijini hakuna sehemu wanalima ndizi hivyo hiyo ni fursa sizani kama inahitaji mtaji mkubwa wa kwenda kuchukua ndizi marangu kwa sh. 8000 na kwenda kuiuza moshi mjini sh30000 apo nimetolea mfano mkoa wa Kilimanjaro au sizani kama inahitaji mtaji mkubwa wa kuanzisha biashara za mitandaoni japo wanaziona ni ngumu na hakuna faida ila kiuhalisia kama ukitilia mkazo utafanikiwa vizuri tuu apo nlikuwa naongelea swala la mawazoimara kabla ya kuanzisha biashara namaanisha kama umeshajua jamii inahitaji nini unaingia hatua ya pili ambayo ni lazima wewe kama wewe uwe unaipenda hiyo biashara na unatakiwa kuamini kuwa hiyo biashara itakupatia kipato kizuri kama ikiwezekana waangalie walio fanikiwa katika hiyo biashara ili kupata ujuzi zaidi ikibidi waombe ushauri hapa utapata minkari gani hamasa ya kitu unachokwenda kukifanya na utafanya kwa moyo mmoja ukijua kuwa kuna mafanikio mbeleni kinachofuatia baada ya apo ni

              ANZA KAZI AU BIASHARA

Baada ya apo kinachofuata ni kuanza biashara yako tatizo ni kwamba unaanzaje  auhitaji kufikiria tena unachotakiwa ni kaz kaz usiofie kuanza kazi utajikuta unapoteza hata mtaji hivyo lazima ujue kuwa biashara unayoifanya si lazima ikuletee faida siku hiyohiyo lazima uwe mvumilivu uwe na subira na ujue faida IPO pale pale hivyo utakuwa na mafanikio katika biashara yako baada ya kufanikiwa katika kuanzisha biashara yako lazima ujue ni kivipi utaikuza biashara yako na utakuza maisha yako ili kuishi maisha mazuri.....
Kuna vitu vitu vitatu vya kuzingatia ktk biashara yako vitu hivyo ni

1. Economy
2.Efficiency
3.Effectiveness

Usisite kutembelea huu ukurasa baadae kidogo ntaelezea ayo mambo moja baada ya lingne

         Ishi kwenye ndoto zako

Popular posts from this blog

Elimu ni ufunguo wa maisha

Maendeleo yanapatikanaje?

Unataka kuwa mfanyabiashara au mjasiriamali