Unataka kuwa mfanyabiashara au mjasiriamali
Bado kuna watu wengi wanaotaka kufanya biashara au ujasiriamali lakini awajuiili swala likoje ndio maana nataka nikuonyeshe mjasiriamali ni nani na mfanyabiashara ni nani??
Tuanze na mfanyabiashara
Mfanyabiashara ni yule mtu anaefanya kitu ambacho kipo kwenye jamii na anakuwa na matumaini makubwa kuwa mbeleni ni lazima atafanikiwa anaingia kwenye biashara kwa kufanya kitu ambacho kinafanyika na watu wengine na matokeo take anajua kuwa anapata faida gani kwa sababu ameshaona wenzake wakifanikiwa katika hilo mfanyabiashara hana kitu kipya katika jamii Bali yeye anafanya vitu ambavo wenzake wanafanya na yeye anaingia kufanya akiwa na matumaini makubwa kuwa atafanikiwa katika afanyalo hivyo mtu anaefanya biashara anajua kuwa ni lazima atapata faida na asilimia ndogo sana ya kupata hasara lakini hipo na tunaona Mara nyingi kuwa watu wanafanya biashara Na wanashindwa hii ni kwa sababu hawakujipanga wao walifanya bila kuwa na uelewa makubwa katika hiyo biashara lakini kiuhalisia ni kwamba mtu anaefanya biashara anakuwa na uhakika makubwa wa faida.
Mjasiriamali ni nani??
Mjasiriamali Mali ni mtu ambaye anafanya kitu kipya ndani ya jamii ambapo awali kulikuwa amna mtu anaefanya kitu hicho ndani ya jamii hana uhakika mkubwa wa mafanikio katika anachokifanya kama mfanyabiashara kwani hana uhakika kama atafanikiwa katika mile afanyacho kama jamii itakipokeaje mjasiriamali ni zaidi ya mfanyabiashara Na akifanikiwa anakuwa amefanikiwa zaidi ya mfanyabiashara kwa maana hamna anaefanya kitu kama anachofanya yeye katika jamii anaefanya hivi ndio tuna sema ni mjasiriamali na mjasiriamali ni tofauti sana na Mfanyabiashara kwani anajiamini sana ndio maana ameamua kufanya kitu kipya katika jamii.
Hapa namaanisha kuwa mjasiriamali si kwamba anafanya biashara mpya Bali wanafanya biashara ambayo mwanzo aikuwepo lakini anachokifanya labda kwenye jamii Fulani kipo lakini kwenye jamii yake hakipo.

Comments