Safari ya mafanikio
Ni tumaini langu kila MTU anaitaji mafanikio katika maisha yake hivyo safari ha kuyafikia mafanikio yetu ni ndefu sana na yenye vikwazo vingi hata hivyo vikwazo hivyo ndio mafanikio yenyewe kwani tukiyatumia matatizo yanayotukabili kila siku kama fursa tutafanikiwa tatizo linalokukabili ukilitatua tunasema umefanikiwa kwani kwa kupitia matatizo ndipo faida ilipo wewe kama MTU mwenye njaa ya mafanikio utakiwi kuyakimbia matatizo kwani ayo matatizo ndiyo yatakayofungua njia ya mafanikio yako kwani cha kwanza unapata ujasiri(confidence) na kujiamini kama unaweza lakini kukimbia matatizo ni shida sana kwanza inaonyesha wewe si jasiri na haujiamini na hii urudisha nhuma maendeleo ya MTU kwani anakuwa na woga wa kushindwa anachukulia jamii itamwonaje hivyo atashindwa kujaribu mambo yatakayo mletea faida na hii hupelekea tuishi maisha ya kawaida badala maisha zaidi ya hayo ya kawaida kama hao wakina Bakhressa,Mo,Dangote na wakina Bill Gate wasingekuwa na nia ya kujaribu wangekuwa na mawazo ya kufeli basis Leo tusingewajua lakini waliamua kujaribu wakiamini watafanikiwa na ndivyo ilivyo watokea hivyo basi wewew uliye kwenye safari ya mafanikio fatilia ayo yatakusaidia THANKS.
Usikose kutembelea ukurasa huu siku ya kesho ili upate kujua mambo ambayo ukifanya mafanikio yatakufuata yenyewe
Usikose kutembelea ukurasa huu siku ya kesho ili upate kujua mambo ambayo ukifanya mafanikio yatakufuata yenyewe
Comments