Elimu ni ufunguo wa maisha

Elimu ni mambo ambayo MTU anayapata darasani au kwenye jamii kuhusiana na jambo Fulani hii ndio itakayotusaidia kufungua mafanikio katika maisha yetu ili tufanikiwe tunaitaji kuwa na elimu kabla ya vyote kuhusiana na jambo ambalo tunataka tulifanikishe katika maisha yetu mfano MTU ukitaka kuingia katika biashara lazima ujue kwa undani biashara unayoifanya jinsi utakavyo anza na itakavyo kusaidia uwezi kuingia ndani ya nyumba iliyofungwa bila kuwa na ufunguo ukikosa ufunguo basi utatumia njia isiyo sahihi either kuvunja mlango au yoyote ile ambayo siyo sahihi hivyo hivyo katika maisha unatakiwa uingie katika mafanikio elimu ndio ufunguo mwenyewe utakaoutumia kuingia katika mafanikio yako najua utasema kuna watu wamefanikiwa bila elimu ni sawa wapo waliofanikiwa bila elimu ila unatakiwa ujue njia bora na rahisi ya kufanikiwa ni elimu endapo umefanikiwa na elimu unayo lazima utaweza kujiaendesha pamoja na vitu ulivyo navyo

Ila ukikosa elimu utapata tabu sana kwani elimu umwezesha MTU kupata fursa nyingi sana kuliko yule asiye na elimu kwani asiye na elimu kwa kutaka au ugumu wa maisha atadhibitisha msemo unaosema kuwa ndege wanaofanana uruka pamoja kwani ukiikataa elimu ata unayempenda ataachana na wewe unapoteza uaminifu kwa jamii na familia kwa ujumla marafiki zako watakuwa ni wa level yako watu wa mtaani tu kwani ata wewe ni MTU wa mtaani autaaminika kwa sababu ahuna la maana la kufanya la maendeleo hivyo akuna atakaye kuamini labda marafiki zako waliokataa elimu bila sababu za msingi kijana unayetaka mafanikio ni lazima uwe na elimu na hiyo elimu ukiitumia vizuri mafanikio yatakuwa yako kwahiyo wewe uliyeko shule tumia iyo nafasi usikeshe ukifanya mambo yasiyo na msingi wala yasiyo endana na jukumu lako la kusoma.

Lazima ujuwe na ukumbuke kuwa kuna watu wanatamani wawe kwenye iyo nafasi uliyoko lakini wameshindwa hivyo unatakiwa ukaze mkanda uipigania elimu waza daima mafanikio usiangaikie mambo ambayo siyo ya umri wako umeipata nafasi itumie ipasavyo usikishe kujisifu Bali acha sifa zikufuate kwa kufuata mafanikio kupitia kitu nachokiongelea yani elimu ukifanikiwa lazima jamii itakuwa inakuconsider ndipo utapata sifa lakini kama auna mafanikio alafu unataka upate sifa lazima uzipate kwa kutumia njia hizi kuwa mwizi,kubaka,au ukeshe ukijisifia na sifa utakazozipata hapo ujue ni sifa za kukuaibisha , sifa mbaya,za kukurudisha nyuma badala ya sifa zinazoendana na mafanikio yako na sifa zitakazozidi kukupa njaa ya mafanikio.

  Ni bora kufa na fikra zilizo hai kuliko
          Kuishi na fikra zilizo kufa



Usichoke kutembelea ukurasa huu kwa mawazoimara yatakayokujenga vizuri katika maisha unayoyaendea ili uyajue kabla ujayafikia baadae kidogo nitatoa somo litakalokusaidia ili mafanikio yakufuate

THANKS FOR YOUR COOPERATION

Comments

Popular posts from this blog

Maendeleo yanapatikanaje?

Ushauri kwa vijana