Furahi maisha na wewe.
- Ni watu wachache wanao kula na kufaidi matunda ya nchi wakati wengine maisha kwao yakiwa ni ya shida, tabu , na matatizo mengi tunayoyajua yanayo mzunguka binadamu. Kichwa chako ndio mtaji wako wewe ambaye bado unaishi maisha yasiyo na ubora kwa sababu MUNGU alimpa kila aliye muumba kichwa ili kwa kila hatua ya maisha yake atumie akili aliyopewa na Mungu katika kutatua changamoto hizo anazopitia na siyo kuzikimbia kwa kitendo cha kukimbia ni kauli ya kushindwa . Ili ufaidi matunda ya nchi ni lazima ujipange kufaidi Na kufaidi huko ni kwa kuishi maisha ya mafanikio .
Ili uweze kuishi huko soma nakala zifuatazo ili ufanikiwe
1. Maendeleo ni fursa
2. Tunaweza kufanikiwa
Zilizopo kwenye ukurasa huu huu.
Usifikirie kuwa kutafuta fedha ni paka umalize shule hapana anza Leo ata kama uko shule kwa kuanzisha blog yako Leo kwa sh.5000 wasiliana nami kupitia 0743106296 WhatsApp shukrani.