Elimu sio njia ya mafanikio

Jiulize maswali haya matatu bora duniani katika aujaanza kuyakabili maisha upya.

1. Je elimu ya juu ni muhimu kwako?

Pamoja na kwamba elimu ni muhimu haiwezi kuchukua nafasi ya kazi kubwa unayotakiwa kufanya unapoanza ujasiriamali. Hivyo kama unaendelea na elimu ya juu ili kupata ujuzi zaidi ni vizuri ila kama unataka kurudi shule ili kukwepa maamuzi magumu unayotakiwa kufanya kama mjasiriamaliunapoteza mida wako


2. Je unapenda kuwa na bosi?
  Ni bora kuanzia biashara ukiwa mdogo sana kama hujawahi kufikiria kufanya kazi chini ya MTU. Hivyo kama unaona huwezi kufanya kazi chini ya mtu basi ujasiriamali ndio njia yako.

3. Wanaokuzunguka wanafikiriaje?
Kama huwezi kuamua omba ushauri kwa wale wanaokuzunguka . wanaweza kukupa ushauri Mzuri sana na nini unaweza kufanya. Kwa mazingira yetu kuwa makini maana watu wako wa karibu wanaweza kuwa waoga kwenye ujasiriamali hivyo wakakuogopesha.
Tafuta MTU Mzuri aliyefanikiwa katika jambo utakalo kulifanya ( expert) akupe ushauri Mzuri.




  Jiulize hayo maswali matatu na upate majibu mengi ili uweze kufikia mafanikio.

Comments

Popular posts from this blog

Maendeleo yanapatikanaje?

Elimu ni ufunguo wa maisha

Ushauri kwa vijana