Tafuta mafanikio

Zingatia haya ni muhimu.

1. Umri wako mdogo sio kigezo cha kuacha kuifuata ndoto yako na kuitimiza.

2. Tafuta maarifa na taarifa sahihi juu ya eneo unalotaka kufanikiwa.

3. Some people dream of success , while others wake up and work hard at it.

4. Kuwa karibu na watu kwenye uwezo kwa ajili ya kukuongoza na kukushauri.

5. Ili ufanikiwe kifedha unahitaji kuwa mwangalifu katika matumizi yako ya fedha kila siku.

6. Jifunze kutoka kuliko kupokea.

7. Jiamini na amini unaweza. Ishi ndoto zako


8. Because of you never give up.

9. Failure is simply opportunity to begin again , but this time more intelligently.

10. If you don't find a way to make money while you sleep , you will work until you die.

But kumbuka likija swala la fedha usiogope kuipoteza yaani play roughly with money don't play safe.

Comments

Popular posts from this blog

Elimu ni ufunguo wa maisha

Maendeleo yanapatikanaje?

Unataka kuwa mfanyabiashara au mjasiriamali