The road ahead like bill gates

1. Kama mbali na kadi za kusugua au mitandaoni yaani credit card ( mikopo ya benki) wekeza wewe mwenyewe

2. Pesa hazikumuumba MTU Bali MTU ndiye aliyeziumba.

3. Ishi maisha yako halisi na rahisi kama yalivyo.

4. Usitende Yale wengine wayasemayo Bali wasikilize na wewe tenda unayojisikia ni mazuri.

5. Msihatamie vitu vyenye majina. Vaa vitu unavyoona vinakupa raha

6. Usitumie pesa zako vibaya , tumia tu pale kuna uhitaji.

7. Baada ya yote nayo ni maisha yako kwanini uwape wengine wayaongoze maisha yako

Comments

Popular posts from this blog

Elimu ni ufunguo wa maisha

Maendeleo yanapatikanaje?

Unataka kuwa mfanyabiashara au mjasiriamali