Maendeleo ni kazi www.mawazoimara@gmail.com Maendeleo ni jitihada Maendeleo ni kujitoa kutafuta mafanikio Maendeleo ni utashi na utayari wa kutumikakiakili na kimwili. Maendeleo ni hasira ya kupambana na upungufu. Maendeleo ni fikra zenye kuona mbali na kutamani mafanikio. Maendeleo ni juhudi na nidhamu. Maendeleo ni wewe. Lazima vijana tuelewe kuwa maendeleo hayatokani na kubweteka na umahiri wa kulalamika hapana maendeleo hayako hivyo wala maendeleo hayatokoni na maombi na miujiza kwamba IPO siku MUNGU akakuwezesha kulala masikini na kukuamsha tajiri mwenyewe maendeleo makubwa hapana. Maendeleo ni kazi na kuchangamkia fursa zilizopo ndani na nje ya uwezo wetu , maendeleo ni jitihada na juhudi zako. Kila kukicha fursa mpya zinagundulika na zipo zinatuzunguka zinasubiri tuzifanyie kazi. Vijana ni lazima tuchangamkie fursa hizo badala ya kukaa na kubweteka , kulalamika na kushauriana ujinga. Inawezekanaje kila sina ya simu tunaijua , kila aina ya wasanii tu...
Comments