Education is not a key to success

Jamii kwa ujumla lazima itambue kuwa bila elimu Tutakuwa na tatizo kubwa sana hivyo kwa ujumla wazaz wanatakiwa kuliweka hili jambo akilini kuwa ni lazima watu waelimike kwani akuna mwenye elimu anayeishi maisha ya ajabu yatupasa jamii kwa ujumla tuwekeze katika kuwapatia watoto wetu elimu.
        Umuhimu wa elimu
1. Elimu umuwezesha mtu kuishi vizuri na jamii
Hii ni tofauti sana na yule asiye na elimu ata ya msingi. Hataweza kuishi na jamii kwa sababu sio mtu wa kuaminika na kwa hizi jamii zetu ambazo zinampa cheo mwenye elimu yaani mwenye elimu ndio anaonekana bora kuliko asiye na elimu Na kiuhalisia ni kweli kwa sababu mwenye elimu anaupeo mkubwa wa kimaisba kuliko yule asiye na elimu ndio maana naona ni bora wazazi wakafanya kazi yao  ya kuelimisha wanao kwani ni njia nzuri ya kuwajenga kiakili ili kukabiliana na maisha ni vigumu japo inawezekana kwa mtu asiye na elimu ata ya msingi kuyakabili maisha hapa naongelea mtu asiyejua kusoma na kuandika yaani elimu ya msingi hana.

2. Source of income
Elimu ni chanzo cha mapato kwani elimu hii ya vyeti hutuwezeaha kuamiriwa na kujiajiri tofauti na mtu asiye na elimu ni vigumu kuwa na chanzo kizuri cha mapato kama huna elimu kazi zako zitaishia kuwa house girl ,houseboy au mlinzi hizi kazi hazina maslahi ya kutosha yatakayo kuwezesha kuhudumia familia yako na kukupatia mahitaji ya muhimu ni bora jamii iwekeze huku kwenye elimu kwani matunda yake yanaonekana na jamii nzima na yatazidi kuonekana

3. Elimu huleta amani
Jamii yoyote yenye amani ni kwa sababu wengi kwenye hiyo jamii wanaelimu ni vigumu kukaa au kufanya kazi inayoitaji elimu Na mtu asiye na elimu ni lazima atakuwa kikwazo na kama hatakuwa kikwazo basi atakuwa mzigo katika ufanyaji wa kazi yenywe kwa kukataa vitu vya msingi au kwa kufanya mambo bila uweledi elimu ni taa ya maisha kwenye Giza elimu ni ufunguo wa mlango wa maisha mazuri binadamu yoyote anayeitaji maisha mazuri inampasa awekeze katika elimu ili nchi niendelee sina budi tuwekeze Tanzania tunawekeza katika viwanda huku tumesahau barabara wanajenga wachina je hivyo viwanda ni wakina nani wataviendesha au tunataka kutengeneza historia mpya ya kuanzisha viwanda alafu baada ya miaka miwili tuvibomoe wenyewe lazima tuwekeze katika kuelimisha ili taifa kwa kupitia elimu Na viwanda vitakuja bila nguvu nyingi.

 Elimu humkomboa mtu mjinga na elimu huzidi kumuimarisha mwenye elimu wazazi tukisahau ili na kuona elimu haina msingi kwa sababu sisi tumefanikiwa bila elimu tutakuwa tunajikusanyia mzigo mkubwa wa kulea kwani hamna anayeajiri mtu asiye na elimu labda kuajiri kwa kazi zisizo na maslahi ya kumudu hata maisha yako mwenyewe


  Albert Einstein aliwahi kusema kuwa maana ya elimu ni kupoteza nusu ya maisha yako kujifunza jinsi ya kupoteza nusu ya maisha yako yaliyo Baki.



 Anza kuingiza kipata kwa kufungua blog yako Leo ata kama bado unasoma fungus blog kwa bei chee ya sh.5000 wasiliana nami kupitia 0743106296 WhatsApp nikutengenezee blog Leo uanze kuingiza fedha ukiwa ndani kwako umelala ni umahiri wa kukusanya habari na kuziingiza katika blog yako. SHUKRANI.

Comments

Popular posts from this blog

Elimu ni ufunguo wa maisha

Maendeleo yanapatikanaje?

Unataka kuwa mfanyabiashara au mjasiriamali