Mambo muhimu kutoka kwa George Soros
Zingatia haya kama kweli unahitaji mafanikio ndani ya maisha yako ya sasa na ya baadae.
1. Kuwa tayari kujitoa mhanga.
2. Kuwa king'ng'nizi.
3. Jifunze kutokana na makosa.
- ipo siri kubwa kujifunza pale unapokosea kuliko unapofanikiwa moja kwa moja kwa sababu kwenye kukosea akili huwa unafanya kazi zaidi . Tofauti na kufanikiwa moja kwa moja una kuwa unasifiwa tu na usipokuwa makini unashindwa unashindwa kujifunza mambo ya msingi. Acha kuchukia makosa Bali kaa chini ujifunze kuyatatua.
4. Kuwa na mtizamo chanya.
- usiwaze hasara zaidi kuliko faida. Siri ya kufanikiwa ipo kwenye kuyachukulia mambo yako chanya na sio hasi.
5. Acha kujilinganisha na wengine.
-Tafuta mafanikio yako jiamini mwenyewe na kubali Yale yaliyoko ndani mwako kuwa ni bora zaidi.
6. Kuwa mkarimu.
-Maisha hayatabiriki Leo unaweza ukawa juu kesho chini hivyo inakubidi umheshimu kila mtu katika nafasi yako kwa sababu kesho utakuwa na mambo yake na sio ya Leo.
7. Furahia mafanikio yako na wengine.
-Mafanikio unayoyapata yasibaki kuwa yako peke yako peke hata jamii yako ifaidike na kile unachokifanya. Wenye uwezo na wasio na uwezo wote wafurahie uwepo wako.

Comments