Positive mobility
Muelekeo wa maisha yako ya katika fikra zako kama wasemavyo wengi kuwa hatima ya maisha yako uko mikononi mwako hivyo kijana mwenzangu huna budi kuiitumia ipasavyo hiyo hatima ya maisha yako kabla aijaondoka katika maisha yako ni lazima uonyeshe mwelekeo dhabiti na imara na uliojengeka katika kuelekea katika hivyo hatima yako.
Hivyo la muhimu katika kuelekea hatima ya maisha yako ni kuonyesha positive mobility yani kuonyesha mwelekeo ulioko chanya katika kuelekea hatima yako ya maisha. Hatima yako ni mahali utakapoishia baada ya yote katika maisha kama ni kuwa daktari au mfanyabiashara hivyo hauna budi kuonyesha mwelekeo chanya haimaanishi kuonyesha mwelekeo chanya katika kujielezea malengo yako kwa wengne japo sio mbaya ila lazima uweke akilini kuwa ni lazima ufanya vitendo kuyafikia ayo unayoyaitaji usikeshe kutafuta sifa kwa mambo ya ajabu ambayo ayatakusaidia Bali Fanya mambo ya msingi yatakayo kusaidia sifa za maana zikuandame maisha ni maraisi lakini kama ukiyarahisisha.
Have a good day but remember to struggle for your success in life also life is very hard if you will not simplify it but if you simplify it will be as you wish

Comments