Unajua NINi lakini aujui ViPi
Maneno mawili tuu "nini" na "vipi" ni mepesi lakini yana maana kubwa sana nikisema nini naamaanisha kuwa ni nini katika mafanikio au katika biashara zako katika maisha yako unajua nini unatakiwa kufanya lakini tatizo linatokea ni kivipi unaweza kufanya hicho kitu yaani ni kivipi unatakiwa kufanya hiyo nini,nini unaweza kuwa biashara yako au mafanikio yako au mipango yako au nini inaweza kuwa ni ndogo zako unajua nini cha kufanya ila bado haujatambua ni njia ipi au ni kivipi tukimaanisha ni vipi unaweza kufanya.
Ushauri wangu ni mdogo tu ila wa uhakika na Mzuri kama unahitaji kuitimiza iyo nini ni lazima ujue ni kivipi usianze kukurupuka utapotea na kuharibu anza kwa kutafuta njia ya kuitimiza kabla ya kufanya iyo nini.

Comments