Bora mafanikio kuliko utajiri

Zingatia na haya katika vita yako ya kupigana na umasikini ili kuendea utajiri.
1. Tulia wakati wa matatizo/changamoto.

2. Zungukwa/zunguka na watu wazuri.

3. Ng'ang'ania kile unachokitaka.

4. Weka gharama chini kadri uwezavyo/ lower your expenses.

5. Jua wapi utaenda kufa ili usipende apo kamwe / jua mapungufu yako na uyageuze kuwa fursa.

  JIBU MASWALI HAYA
              MATATU
 -Je elimu ya juu ni muhimu kwangu?
 -Je unapenda kuwa na bosi?
 -Wanaokuzunguka wanafikiriaje?

Comments

Popular posts from this blog

Elimu ni ufunguo wa maisha

Maendeleo yanapatikanaje?

Unataka kuwa mfanyabiashara au mjasiriamali