Usikeshe ukilalama kila siku kwamba serekali ya nchi ni mbovu hapana serekali ya kichwa chako ndo kibovu kimeshindwa kukuajiri lazima ukitumie vizuri ili kikuajiri
Elimu ni mambo ambayo MTU anayapata darasani au kwenye jamii kuhusiana na jambo Fulani hii ndio itakayotusaidia kufungua mafanikio katika maisha yetu ili tufanikiwe tunaitaji kuwa na elimu kabla ya vyote kuhusiana na jambo ambalo tunataka tulifanikishe katika maisha yetu mfano MTU ukitaka kuingia katika biashara lazima ujue kwa undani biashara unayoifanya jinsi utakavyo anza na itakavyo kusaidia uwezi kuingia ndani ya nyumba iliyofungwa bila kuwa na ufunguo ukikosa ufunguo basi utatumia njia isiyo sahihi either kuvunja mlango au yoyote ile ambayo siyo sahihi hivyo hivyo katika maisha unatakiwa uingie katika mafanikio elimu ndio ufunguo mwenyewe utakaoutumia kuingia katika mafanikio yako najua utasema kuna watu wamefanikiwa bila elimu ni sawa wapo waliofanikiwa bila elimu ila unatakiwa ujue njia bora na rahisi ya kufanikiwa ni elimu endapo umefanikiwa na elimu unayo lazima utaweza kujiaendesha pamoja na vitu ulivyo navyo Ila ukikosa elimu utapata tabu sana kwani elimu umwezesha MTU ku...
Maendeleo ni kazi www.mawazoimara@gmail.com Maendeleo ni jitihada Maendeleo ni kujitoa kutafuta mafanikio Maendeleo ni utashi na utayari wa kutumikakiakili na kimwili. Maendeleo ni hasira ya kupambana na upungufu. Maendeleo ni fikra zenye kuona mbali na kutamani mafanikio. Maendeleo ni juhudi na nidhamu. Maendeleo ni wewe. Lazima vijana tuelewe kuwa maendeleo hayatokani na kubweteka na umahiri wa kulalamika hapana maendeleo hayako hivyo wala maendeleo hayatokoni na maombi na miujiza kwamba IPO siku MUNGU akakuwezesha kulala masikini na kukuamsha tajiri mwenyewe maendeleo makubwa hapana. Maendeleo ni kazi na kuchangamkia fursa zilizopo ndani na nje ya uwezo wetu , maendeleo ni jitihada na juhudi zako. Kila kukicha fursa mpya zinagundulika na zipo zinatuzunguka zinasubiri tuzifanyie kazi. Vijana ni lazima tuchangamkie fursa hizo badala ya kukaa na kubweteka , kulalamika na kushauriana ujinga. Inawezekanaje kila sina ya simu tunaijua , kila aina ya wasanii tu...
Bado kuna watu wengi wanaotaka kufanya biashara au ujasiriamali lakini awajuiili swala likoje ndio maana nataka nikuonyeshe mjasiriamali ni nani na mfanyabiashara ni nani?? Tuanze na mfanyabiashara Mfanyabiashara ni yule mtu anaefanya kitu ambacho kipo kwenye jamii na anakuwa na matumaini makubwa kuwa mbeleni ni lazima atafanikiwa anaingia kwenye biashara kwa kufanya kitu ambacho kinafanyika na watu wengine na matokeo take anajua kuwa anapata faida gani kwa sababu ameshaona wenzake wakifanikiwa katika hilo mfanyabiashara hana kitu kipya katika jamii Bali yeye anafanya vitu ambavo wenzake wanafanya na yeye anaingia kufanya akiwa na matumaini makubwa kuwa atafanikiwa katika afanyalo hivyo mtu anaefanya biashara anajua kuwa ni lazima atapata faida na asilimia ndogo sana ya kupata hasara lakini hipo na tunaona Mara nyingi kuwa watu wanafanya biashara Na wanashindwa hii ni kwa sababu hawakujipanga wao walifanya bila kuwa na uelewa makubwa katika hiyo bi...
Comments