Posts

Showing posts from May, 2017

Kanuni kumi za mafanikio

1. Kuwa na ndoto ( have a dream ) 2. Fikiri kama mshindi ( think as a champion ) 3. Weka masharti ( be committed ) 4. Kifanye sasa hivi ( do it right now ) 5. Jiandae ( be prepared ) 6. Weka maneno yako ( keep your words ) 7. Tengeneza mipango ( set goals ) 8. Tafakari wapi ulipo ( evaluate where you are ) 9. Kuwa mkamilishaji ( have integrity ) 10. Usiache ( do not quit )

Mambo muhimu ya kufikiria

Fikiria haya yatakusaidia vizuri katika maisha yako ya kila siku.   - what does it mean when you are handsome but very successfully failure.   - if you fear failure it will come, you will do if you really. You have to be responsible for failure that bother your self to success.   - repeated failure cause me to do not pretending many things. Don't be afraid , be afraid to of not facing your fear and failure.   - do not afraid to destroy the system that kill your heart and soul,do not afraid to be alone if it is necessary cause in.

Mambo muhimu kutoka kwa George Soros

Zingatia haya kama kweli unahitaji mafanikio ndani ya maisha yako ya sasa na ya baadae. 1. Kuwa tayari kujitoa mhanga. 2. Kuwa king'ng'nizi. 3. Jifunze kutokana na makosa.            - ipo siri kubwa kujifunza pale unapokosea kuliko unapofanikiwa moja kwa moja kwa sababu kwenye kukosea akili huwa unafanya kazi zaidi . Tofauti na kufanikiwa moja kwa moja una kuwa unasifiwa tu na usipokuwa makini unashindwa unashindwa kujifunza mambo ya msingi. Acha kuchukia makosa Bali kaa chini ujifunze kuyatatua. 4. Kuwa na mtizamo chanya.                 - usiwaze hasara zaidi kuliko faida. Siri ya kufanikiwa ipo kwenye kuyachukulia mambo yako chanya na sio hasi. 5. Acha kujilinganisha na wengine.              -Tafuta mafanikio yako jiamini mwenyewe na kubali Yale yaliyoko ndani mwako kuwa ni bora zaidi. 6. Kuwa mkarimu.         -Maisha hayatabiriki Leo unaweza ...

Bora mafanikio kuliko utajiri

Zingatia na haya katika vita yako ya kupigana na umasikini ili kuendea utajiri. 1. Tulia wakati wa matatizo/changamoto. 2. Zungukwa/zunguka na watu wazuri. 3. Ng'ang'ania kile unachokitaka. 4. Weka gharama chini kadri uwezavyo/ lower your expenses. 5. Jua wapi utaenda kufa ili usipende apo kamwe / jua mapungufu yako na uyageuze kuwa fursa.   JIBU MASWALI HAYA               MATATU  -Je elimu ya juu ni muhimu kwangu?  -Je unapenda kuwa na bosi?  -Wanaokuzunguka wanafikiriaje?

Elimu sio njia ya mafanikio

Jiulize maswali haya matatu bora duniani katika aujaanza kuyakabili maisha upya. 1. Je elimu ya juu ni muhimu kwako? Pamoja na kwamba elimu ni muhimu haiwezi kuchukua nafasi ya kazi kubwa unayotakiwa kufanya unapoanza ujasiriamali. Hivyo kama unaendelea na elimu ya juu ili kupata ujuzi zaidi ni vizuri ila kama unataka kurudi shule ili kukwepa maamuzi magumu unayotakiwa kufanya kama mjasiriamaliunapoteza mida wako 2. Je unapenda kuwa na bosi?   Ni bora kuanzia biashara ukiwa mdogo sana kama hujawahi kufikiria kufanya kazi chini ya MTU. Hivyo kama unaona huwezi kufanya kazi chini ya mtu basi ujasiriamali ndio njia yako. 3. Wanaokuzunguka wanafikiriaje? Kama huwezi kuamua omba ushauri kwa wale wanaokuzunguka . wanaweza kukupa ushauri Mzuri sana na nini unaweza kufanya. Kwa mazingira yetu kuwa makini maana watu wako wa karibu wanaweza kuwa waoga kwenye ujasiriamali hivyo wakakuogopesha. Tafuta MTU Mzuri aliyefanikiwa katika jambo utakalo kulifanya ( expert) akupe ushauri M...

Tafuta mafanikio

Zingatia haya ni muhimu. 1. Umri wako mdogo sio kigezo cha kuacha kuifuata ndoto yako na kuitimiza. 2. Tafuta maarifa na taarifa sahihi juu ya eneo unalotaka kufanikiwa. 3. Some people dream of success , while others wake up and work hard at it. 4. Kuwa karibu na watu kwenye uwezo kwa ajili ya kukuongoza na kukushauri. 5. Ili ufanikiwe kifedha unahitaji kuwa mwangalifu katika matumizi yako ya fedha kila siku. 6. Jifunze kutoka kuliko kupokea. 7. Jiamini na amini unaweza. Ishi ndoto zako 8. Because of you never give up. 9. Failure is simply opportunity to begin again , but this time more intelligently. 10. If you don't find a way to make money while you sleep , you will work until you die. But kumbuka likija swala la fedha usiogope kuipoteza yaani play roughly with money don't play safe.

The road ahead like bill gates

1. Kama mbali na kadi za kusugua au mitandaoni yaani credit card ( mikopo ya benki) wekeza wewe mwenyewe 2. Pesa hazikumuumba MTU Bali MTU ndiye aliyeziumba. 3. Ishi maisha yako halisi na rahisi kama yalivyo. 4. Usitende Yale wengine wayasemayo Bali wasikilize na wewe tenda unayojisikia ni mazuri. 5. Msihatamie vitu vyenye majina. Vaa vitu unavyoona vinakupa raha 6. Usitumie pesa zako vibaya , tumia tu pale kuna uhitaji. 7. Baada ya yote nayo ni maisha yako kwanini uwape wengine wayaongoze maisha yako

Busara za baba

Mambo siku zote huwa mepesi kwa wenye ufahamu, lakini upumbavu wa mpumbavu ni zaidi ya udanganyifu . yaani namaanisha kuwa rafiki wa mpumbavu / mjinga daima am tegemea maumivu . Bado naamini kuwa sio wote wenye mbio washindao vitani,wala sio wore walio hodari washindao vitani, wala sio wote wenye elimu wapatao Mali , wala sio wote wenye uwezo watapewa upendeleo ila naamini katika mambo matatu katika hii dunia kwanza bahati pili mida na mwisho uwezo / ustadi vitu hivyo usivitegemee sana katika maisha yako amino uwezo  unao na pia wapo wengi wenye uwezo kama wako amino unaweza wa kutengeneza mambo ndani ya kichwa chako na yakakusaidia kuwa katika nafasi Fulani , lazima ujue kuwa dunia haina mida wa kutosha hivyo tumia muda sawasawa kila upatapo nafasi usiseme muda hupo ukiamini muda hupo hautafanikisha mambo mengi. Na pia kuna uwezo usifikirie kuwa hauna uwezo,uwezo unao ila haujautumia na kuendeleza ujuzi wako. Lazima ujenge maisha yako kichwani ndipo uyaweke katika maisha ya k...

Kichwa chako mtaji wako

Usikeshe ukilalama kila siku kwamba serekali ya nchi ni mbovu hapana serekali ya kichwa chako ndo kibovu kimeshindwa kukuajiri lazima ukitumie vizuri ili kikuajiri

Amka raia wa Tanzania

Wako vijana wengi wanakesha nyumbani baadala ya kufanya kazi wao wana subiria matokeo tuu kumbe ata simu yako ni ajira tosha anza Leo kupata fedha kwa kutumia mitandao kwa kufungua blog kwa sh.5000 tu ufaidike na fedha kama mshahara na kijikuta unasahau kazi nyingine wasiliana nami kupitia 0743106296 WhatsApp nikutengenezee blog imara na itakayokupa kipato. Usifikiri kutafuta pesa ni paka umalize shule hapana anza kuwekeza Leo kwa kufungua blog yako na kuanzia kuingiza fedha taratibu ukiwa bado darasani fungua kwa bei poa kabisa ya sh.5000 wasiliana nami kupitia 0743106296 jenga maisha yako Leo Leo kijana

Furahi maisha na wewe.

Ni watu wachache wanao kula na kufaidi matunda ya nchi wakati wengine maisha kwao yakiwa ni ya shida, tabu , na matatizo mengi tunayoyajua yanayo mzunguka binadamu. Kichwa chako ndio mtaji wako wewe ambaye bado unaishi maisha yasiyo na ubora kwa sababu MUNGU  alimpa kila aliye muumba kichwa ili kwa kila hatua ya maisha yake atumie akili aliyopewa na Mungu katika kutatua changamoto hizo anazopitia na siyo kuzikimbia kwa kitendo cha kukimbia ni kauli ya kushindwa . Ili ufaidi matunda ya nchi ni lazima ujipange kufaidi Na kufaidi huko ni kwa kuishi maisha ya mafanikio . Ili uweze kuishi huko soma nakala zifuatazo ili ufanikiwe 1. Maendeleo ni fursa 2. Tunaweza kufanikiwa Zilizopo kwenye ukurasa huu huu. Usifikirie kuwa kutafuta fedha ni paka umalize shule hapana anza Leo ata kama uko shule kwa kuanzisha blog yako Leo kwa sh.5000 wasiliana nami kupitia 0743106296 WhatsApp shukrani.

Tunaweza kufanikiwa

Image
Success is the main objective of every young person who wants to have a better life. What better life is a success is because many people have been fighting a desperate quest for success ayo.     You can succeed You must know that you are looking for a successful confidence to succeed you will be a better king to take you in there than successful. Lord Bill gates did not prosper without being confident that he will succeed you must build it in search of progress itself aijalishi where are you or you live what life must know success ayachagui the following achievements are on the lookout the own goals, committed with the hunger to seek riches own wealth and prosperity not created with the knowledge to boast and show the crowd that you need success and wealth of the sha ?? It works. Success brought to the efforts of hard working and focused tirelessly and without desperation and know that it is not necessary to begin working income if they have the ability to not have...

Maendeleo yanapatikanaje?

Maendeleo ni kazi www.mawazoimara@gmail.com Maendeleo ni jitihada Maendeleo ni kujitoa kutafuta mafanikio Maendeleo ni utashi na utayari wa kutumikakiakili na kimwili. Maendeleo ni hasira ya kupambana na upungufu. Maendeleo ni fikra zenye kuona mbali na kutamani mafanikio. Maendeleo ni juhudi na nidhamu. Maendeleo ni wewe. Lazima vijana tuelewe kuwa maendeleo hayatokani na kubweteka na umahiri wa kulalamika hapana maendeleo hayako hivyo wala maendeleo hayatokoni na maombi na miujiza kwamba IPO siku MUNGU akakuwezesha kulala masikini na kukuamsha tajiri mwenyewe maendeleo makubwa hapana. Maendeleo ni kazi na kuchangamkia fursa zilizopo ndani na nje ya uwezo wetu , maendeleo ni jitihada na juhudi zako.   Kila kukicha fursa mpya zinagundulika na zipo zinatuzunguka zinasubiri tuzifanyie kazi. Vijana ni lazima tuchangamkie fursa hizo badala ya kukaa na kubweteka , kulalamika na kushauriana ujinga.  Inawezekanaje kila sina ya simu tunaijua , kila aina ya wasanii tu...