Posts

Showing posts from September, 2017

Ngazi haipandi inapandisha

Tuna mawazo lakini hatufikirii  Wengi tuna mawazo lakini hatuna mipango ya mawazo yote hata vichaa wanayo mawazo lakini hawana mawazo 

Unajua NINi lakini aujui ViPi

Maneno mawili tuu "nini" na "vipi" ni mepesi lakini yana maana kubwa sana nikisema nini naamaanisha kuwa ni nini katika mafanikio au katika biashara zako katika maisha yako unajua nini unatakiwa kufanya lakini tatizo linatokea ni kivipi unaweza kufanya hicho kitu yaani ni kivipi unatakiwa kufanya hiyo nini,nini unaweza kuwa biashara yako au mafanikio yako au mipango yako au nini inaweza kuwa ni ndogo zako unajua nini cha kufanya ila bado haujatambua ni njia ipi au ni kivipi tukimaanisha ni vipi unaweza kufanya. Ushauri wangu ni mdogo tu ila wa uhakika na Mzuri kama unahitaji kuitimiza iyo nini ni lazima ujue ni kivipi usianze kukurupuka utapotea na kuharibu anza kwa kutafuta njia ya kuitimiza kabla ya kufanya iyo nini.

Umezaliwa tajiri ila unakufa maskini

Hakuna binadamu asiyependa mafanikio na kama tunahitaji mafanikio Basi tufanye hakuna kukata tamaa wala kurudi nyuma kama tujuavyo kuwa mafanikio