Unataka kuwa mfanyabiashara au mjasiriamali
Bado kuna watu wengi wanaotaka kufanya biashara au ujasiriamali lakini awajuiili swala likoje ndio maana nataka nikuonyeshe mjasiriamali ni nani na mfanyabiashara ni nani?? Tuanze na mfanyabiashara Mfanyabiashara ni yule mtu anaefanya kitu ambacho kipo kwenye jamii na anakuwa na matumaini makubwa kuwa mbeleni ni lazima atafanikiwa anaingia kwenye biashara kwa kufanya kitu ambacho kinafanyika na watu wengine na matokeo take anajua kuwa anapata faida gani kwa sababu ameshaona wenzake wakifanikiwa katika hilo mfanyabiashara hana kitu kipya katika jamii Bali yeye anafanya vitu ambavo wenzake wanafanya na yeye anaingia kufanya akiwa na matumaini makubwa kuwa atafanikiwa katika afanyalo hivyo mtu anaefanya biashara anajua kuwa ni lazima atapata faida na asilimia ndogo sana ya kupata hasara lakini hipo na tunaona Mara nyingi kuwa watu wanafanya biashara Na wanashindwa hii ni kwa sababu hawakujipanga wao walifanya bila kuwa na uelewa makubwa katika hiyo bi...